JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) LINAWATANGAZIA VIJANA WATAKAOMALIZA
ELIMU YA SEKONDARI KIDATO CHA SITA MWEZI MEI 2014 KUWA WATAJIUNGA NA
JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) KWA MUJIBU WA SHERIA MWEZI JUNI 2014, KWA
UTARATIBU UTAKAOTOLEWA MWISHONI MWA MWEZI APRILI 2014 NA MAKAO MAKUU YA
JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT).
No comments:
Post a Comment