Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

WASHINDI WA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014


Msanii bora chipukizi ameshinda Young Killer. 

Wimbo bora wa zouk mshindi ni  

Mshindi wimbo wa Afro pop ni  -mynumber1

Mshindi wimbo bora wa Dance hall ni Chibwa- Nishai. 

Mshindi wimbo bora wa reggae ni Dabo.

Wimbo bora Taarab mshindi ni Mzee Yusuph -Wasiwasi wako. 

Kikundi bora cha mwaka cha Taarab mshindi ni Jahazi modern taarab.

Mwimbaji bora wa kike Taarab, mshindi ni Isha Ramadhan.

Mwimbaji bora wa kiume Taarab, mshindi ni Mzee Yusuph. 

Wimbo bora wa kiswahili bendi, mshindi ni Mashujaa bendi -Ushamba mzigo. 

Mwimbaji bora wa kiume bendi, mshindi ni Jose Mara. 

Rapa bora wa mwaka bendi, mshindi ni Furguson. 

Bendi bora ya mwaka, mshindi ni Mashujaa bendi.

Muimbaji bora wa kike kizazi kipya, mshindi ni 

Muimbaji bora wa kiume kizazi kipya, mshindi ni .

Kikundi bora cha mwaka muziki wa kizazi kipya, washindi ni kundi la Weusi.

Wimbo bora wa R&B, mshindi ni Vanessa Mdee -Closer. 

Wimbo bora wa HIP HOP, mshindi ni Nikki wa pili - Nje ya box.

Msanii bora wa HIP HOP, mshindi ni 

Wimbo bora wa kushirikiana, mshindi ni Ney wa mitego Ft  -Muziki gani. 

Wimbo bora wa Afrika Mashariki, mshindi ni Jose Chamilione- Tubonge.

Mtunzi bora wa mwaka Taarab, mshindi ni Mzee Yusuph. 

Mtunzi bora wa mwaka bendi, mshindi ni Christian Bella. 

Mtunzi bora wa mwaka kizazi kipya, mshindi ni
Mtunzi bora wa mwaka HIP HOP, mshindi ni  .

Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka bendi, mshindi ni Amoroso. 

Mtayarishaji bora wa muziki kizazi kipya, mshindi ni Man Water. 

Tuzo ya heshima (Hall of fame), amepewa msanii Hassan Bitchuka. 

Hall of fame (Institution), amepewa mtangazaji mkongwe Masoud Masoud. 

Video bora ya muziki ya mwaka, mshindi ni  . 

Video bora ya muziki ya mwaka, mshindi ni  -My number one. 

Wimbo bora wa mwaka, mshindi ni - My number one. 

Hadi sasa msanii  , anaongoza kwa kuchukua jumla ya tuzo 5. 

Mtumbuizaji bora wa kike, mshindi ni Isha Ramadhan.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...