Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

PICHA ZA MAZISHI YA GURUMO KISARAWE MKOANI PWANI.


Msibani
Mamia ya Wadau , mashabiki na wapenzi wa muziki wa dansi wamempumzisha salama mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi Maalim Muhidin Gurumo kijijini kwao Masaki – Kisarawe mkoani Pwani.
Katika mazishi hayo, wasanii wa bendi mbalimbali nchini na wale waliowahi kufanya nae kazi   waliweza kuhudhuria, ingawa mahudhurio  kwa upande wa wasanii wa muziki wa kizazi kipya haikuridhisha, ukilinganisha na wasanii  wa fani nyingine.
Mazishi ya gurumo1 Safari ya mwisho ya Gurumo  Mazishi1
Mazishi ya Gurumo

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...