Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

PHARRELL WILLIAMS AMWAGA MACHOZI WAKATI WA MAHOJIANO NA OPRAH.


Pharrell1
Staa wa muziki anayetamba na kibao cha ‘Happy’ kutoka nchini Marekani , Pharrell Williams’ alijikuta akimwaga machozi mithili ya mtoto mchanga alipokuwa akifanyiwa mahojiano na mwanamama bilionea Oprah Winfrey  kwenye   kipindi kipya  cha Oprah Prime.
Katika mahojiano hayo, Pharrell alizungumzia kuhusu ndoa yake, kazi na mafanikio aliyoyapata kupitia  kibao  cha Happy na kile alichoshirikishwa na Robbin Thicke  ”Blurred Lines”  vilivyomuwezeshaa kuchaguliwa mara saba kuwania tuzo kubwa za Oscar sambamba na mtazamo wake kuhusiana na haki za wanawake.
Staa huyo alijikuta akibubujikwa na machozi katikati ya kipindi baada ya kuwekewa video iliyokuwa ikimuonyesha shabiki mmoja akicheza kibao chake cha Happy. ”My best songs come from two different ways” alisema Pharrell, aliongezea ”Either when I have a really good gut feeling about something, it’s written in the shower or on a plane.’
Pharrell Williams

 PW1

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...