Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.
MAUAJI YA MWIZI JIJINI DAR - ES - SALAAM
Marehemu NASIB EXZAVERY maarufu kama Mkemia akiwa amechomwa moto eneo la viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge Jijini Mbeya kwa kosa la wizi wa kuku ambaye Mwenye Kuku huyo hajafahamika
Marehemu NASIB pamoja na Kuku aliodaiwa kuwaiba na kumsababishia kifo.
Taswira inayoonyesha akiwa ndani ya Tairi Hilo baada ya kuchomwa moto
Jeshi la Polisi likiwa limefika eneo la Tukio kuuchukua Mwili wa marehemu na kuupeleka katika hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya
Gari hili ndilo linalodaiwa kuwa marehemu alikuwa akifanya kazi kama Utingo
Watoto wa shule ya Msingi Mwenge wakiwa eneo la Tukio. kwa maelezo zaid bofya hapa

1 comment:

Anonymous said...

kwel za mwiz 40.. rest in peace kk

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...