Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA ATEMBELEA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI LEO JIJINI DAR ES SALAAM.

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi (kulia)  akiwa katika mazungumzo na ugeni kutoka Ubalozi wa China nchini Tanzania uliomtembelea leo Ofisini kwake ukiongozwa na Balozi Lu Youqing  (kushoto)  kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya China na Tanzania katika kuimarisha  shughuli za Mipango Miji ,Usimamizi wa Matumizi endelevu ya Ardhi . 
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi (kulia) akimweleza  Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing  (kushoto) namna Wizara yake inavyoendelea  kuimarisha  shughuli za Mipango Miji ,Usimamizi na Matumizi endelevu ya Ardhi katika maeneo mbalimbali nchini.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akimkaribisha Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing  alipomtembelea  ofisini kwake  leo jijini Dar es salaam na kufanya mazungumzo  ya kuimarisha  ushirikiano kati ya Tanzania na China katika masuala ya uendelezaji wa Ardhi na Mipango miji.

MFUMO MPYA WA UONDOSHJI MIZIGO(TANCIS)KUONGEZA UWAZI NA UWAJIBIKAJI

 Kamishna wa Forodha na Ushuru kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Tiagi Masamaki Kabisi akiwaeleza waandishi wa Habari juu ya faida za Mfumo mpya wa Uondoshaji Mizigo bandarini(TANCIS) ikiwa unasaidia katika kufanya makadirio ya kodi sahihi kulingana na taarifa sahihi zilizoletwa kwa kutumia mfumo huo, pia utasaidia wateja kujua sehemu mizigo yao ilipo na pia wanapaswa kulipa kiasi gani kulingana na mzigo wa mteja, wakati wa Mkutano na waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam.
 Ofisa Mwandamizi wa Forodha kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Felix Tinkasimile akiwaeleza waandishi wa habari namna mfumo mpya wa uondoshaji mizingo unavyoongeza uwazi na uwajibikaji utakaosaidia kuzuia upoteaji wa mizigo bandarini ikiwemo Magari na Makontena , wakati wa Mkutano na waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam.
 Kaimu Meneja wa Kituo cha Huduma cha Forodha kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Kasty Phelician akiwaeleza waandishi wa Habari majukumu ya kituo hicho ikiwemo kutoa tathnimi ya kodi unayopaswa kulipwa kwa kupitia na kuhakiki nyaraka zote kutoka kwenye kadhia zinazotumia mfumo wa TANCIS ikiwamo viwango vya ushuru wa forodha vinavyopaswa kutozwa.
 Meneja wa Forodha Bandari ya Dar es Salaam kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)Bw.Burton Kaissy akiwaeleza waandishi wa Habari namna wanavyoshirikiana na Taasisi mbalimbali kurahisisha usafirishaji wa mizigo yote inayoenda nje nchi
Baadhi ya waandishi wa Habari wakimsikiliza Meneja wa Forodha Bandari ya Dar es Salaam kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)Bw.Burton Kaissy wakati wa Ziara iliyofanyika katika mamlaka hiyo kuona jinsi mfumo wa TANCIS unavyofanya kazi.PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO.

Amani_Shauqy Muhiya Officially Video



Kwa jina halisi alopewa na wazazi wake ni MOHAMMED MUHIYA ila jina analotumia katika sanaa ni SHAUQY MUHIYA ni mwanamuziki wa Qasida Tanzania
Ni kati ya wasanii wa Qasida wanaofanya vizuri katika Sokoni Kwenye aina hii ya muziki wa Qasida hapa bongo ambae pia anatamba na video yake ya AMANI TANZANIA aliyomshirikisha msanii mwenzake mkubwa hapa bongo ,  iliyofanyika chini ya mikono ya director Mike Tee.
Mbali na kutamba na kibao chake hicho SHAUQY MUHIYA alieleza kuwa bado anapata changamoto za hapa na pale kama vile, matatizo za kifedha na Uchache wa upataji matamasha ndani na nje ya nchi.
Pia alieleza jinsi namna ambavyo mziki umemuonyensha mafanikio kwa hapa alipofikia.
"mafanikio sio makubwa saaanaa ila naweza nikasema kwa kiasi flani Qasida imeniongezea mafans na marafiki kibao Duniani. Kingine kikubwa zaidi naweza nikasema napenda sana mziki hasa wa kumuimbia Mungu,Mbali na muziki ni mwalimu pia wa Quran Tukufu,Matarajio yangu baadae ni Kuhakikisha jamii nzima inamjua Mungu Na kufata yale aliyoyaagiza pia kujipatia kipato cha kuendeshea maisha yangu kwa ujumla.Asante Mngu" Alisema Shauqy Muhiya.
Harakati za muziki za Shauqy zimeanza mwaka 2008 aliporekodi nyimbo yake ya kwanza.
Shauqy kama ilivyo kawaida kwa binadamu kuwapenda wenzetu, yeye mesema kuwa anawakubali saana wasanii wewa Qasida 
Tanzania na ameomba wajitokeze wanaopenda kufanya mziki kama huu.
Hivyo wana TANZANIA mnatakiwa kujisifia wasanii/vitu vya kwenu na kuvipenda kwa kuvijenga zaidi kupitia kukosoa kwenu, na kuzipromoti kazi zao
Msikilize hapa ikiwezekana umpatie sapoti ili aweze kurekodi album hii kali yenye baraka tele.
 SIKILIZA NA DOWNLOAD Bonyeza HAPA

WAFANYAKAZI WA FNB WATEMBELEA GLOBAL

Afisa Masoko wa FNB, Anthonia Daviki akiongea na wafanyakazi wa Global (hawapo pichani).
Antonia David (wa pili kutoka kushoto) akiwapa maelekezo wafanyakazi wa Global jinsi ya kujiunga na huduma za First National Bank (FNB).…
Afisa Masoko wa FNB, Anthonia Daviki akiongea na wafanyakazi wa Global (hawapo pichani).
Antonia David (wa pili kutoka kushoto) akiwapa maelekezo wafanyakazi wa Global jinsi ya kujiunga na huduma za First National Bank (FNB).
Mhariri Msadizi wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli (kushoto) akipata maelekezo kutoka kwa mfanyakazi wa FNB, Cool John (kulia).
Wafanyakazi wa Global Publishers wakiendelea kujaza fomu za kufungua Account.
Wafanyakazi wa Global, Barnabas (kushoto) na Hamisi wakimsikiliza kwa makini mfanyakazi wa FNB
Wafanyakazi wa FNB wakiwa katika picha ya pamoja.
(PICHA NA GLOBAL TV ONLINE /GPL)

WATU ZAIDI YA 28 WAHOFIWA KUFA KATIKA AJALI YA MAGARI MWANZA


Miili na majeruhi wakipokelewa katika Hospitali ya mkoa wa Mara.
...Baadhi ya maiti zikiwa zimefunikwa.…
Miili na majeruhi wakipokelewa katika Hospitali ya mkoa wa Mara.
...Baadhi ya maiti zikiwa zimefunikwa.
Baadhi ya wakazi wa Mara pamoja na wauguzi wakiangalia maiti wa ajali hiyo
Baadhi ya wakazi wa Mara wakiwa wamekusanyika katika hospitali hiyo.
Watu zaidi ya 28 wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali ya mabasi ya Mwanza Coach na j4 Express lenye namba za usajili T677 CYC lililokuwa likitokea Sirari kwenda Mwanza kugongana na basi la Mwanza Coach lenye namba za usajili T736 AWJ leo asubuhi. 
Picha: na Global Whatsapp +255 753 715 779

DIAMOND ATAJWA KUWANIA TUZO ZA CHOAMVA 2014

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platinumz'.
Channel O wametangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za CHOAMVA mwaka huu.
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platinumz' ametajwa kuwania vipengele vinne ambavyo ni MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR, MOST GIFTED NEWCOMER, MOST GIFTED AFRO POP na MOST GIFTED EAST.
Tuzo hizo zitatolewa Jumamosi, tarehe 29 November, Nasrec Expo Centre mjini Soweto, Afrika Kusini. Tazama orodha kamili ya majina katika tuzo za mwaka huu.
MOST GIFTED MALE

CASSPER NYOVEST – DOC SHEBELEZA

DAVIDO –…

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platinumz'.
Channel O wametangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za CHOAMVA mwaka huu.
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platinumz' ametajwa kuwania vipengele vinne ambavyo ni MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR, MOST GIFTED NEWCOMER, MOST GIFTED AFRO POP na MOST GIFTED EAST.
Tuzo hizo zitatolewa Jumamosi, tarehe 29 November, Nasrec Expo Centre mjini Soweto, Afrika Kusini. Tazama orodha kamili ya majina katika tuzo za mwaka huu.
MOST GIFTED MALE
CASSPER NYOVEST – DOC SHEBELEZA
DAVIDO – AYE
RIKY RICK FT OKMALUMKOOLKAT – AMANTOMBAZANE
K.O. FT KID X – CARACARA
SARKODIE – ILLUMINATI

MOST GIFTED FEMALE
THEMBI SEETE – THUNTSHA LEROLE
BUCIE FT HEAVY K – EASY TO LOVE
LIZHA JAMES FT UHURU – QUEM TI MANDOU
TIWA SAVAGE FT DON JAZZY – EMINADO
SEYI SHAY – IRAWO

MOST GIFTED NEWCOMER
DREAM TEAM FT TAMARSHA, AKA & BIG NUZ – TSEKEDE
CASSPER NYOVEST – DOC SHEBELEZA
EMMY GEE FT AB CRAZY & DJ DIMPLEZ – RANDS AND NAIRAS
DIAMOND – NUMBER ONE
PATORANKING – GIRLIE O (REMIX)

MOST GIFTED DUO, GROUP OR FEATURING
UHURU FT OSKIDO & PROFESSOR – Y-TJUKUTJA
DJ CLOCK FT BEATENBERG – PLUTO (I REMEMBER)
R2BEES FT WIZKID – SLOW DOWN
K.O. FT KID X – CARACARA
KCEE FT WIZKID – PULL OVER

MOST GIFTED DANCE
UHURU FT OSKIDO & PROFESSOR – Y-TJUKUTJA
DAVIDO – SKELEWU
DJ CLOCK FT BEATENBERG – PLUTO (I REMEMBER)
P SQUARE – PERSONALLY
BUSISWA FT VARIOUS – NGOKU

MOST GIFTED RAGGA DANCEHALL
BUFFALO SOULJAH – BASAWINE
OREZI – RIHANNA
JESSE JAGGZ FEAT WIZKID – BAD GIRL
PATORANKING – GIRLIE O (REMIX)
SHATTA WALE – EVERYDOBY LIKES MY TING

MOST GIFTED AFRO POP
DAVIDO – AYE
MAFIKIZOLO FT MAY D – HAPPINESS
DIAMOND – NUMBER ONE
FLAVOUR ADA ADA
IYANYA – JOMBOLO

MOST GIFTED KWAITO
UHURU FT OSKIDO & PROFESSOR – Y-TJUKUTJA
CHARACTER FT MONO T & OSKIDO – INXEBA LENDODA
BIG NUZ FT KHAYA MTHETHWA – INCWADI YOTHANDO
DJ VETKUK VS MAHOOTA – KHABA LENJA
DJ CNDO – YAMNANDI INTO

MOST GIFTED R&B
2FACE FT T PAIN – RAINBOW
JIMMY NEVIS FT KWESTA – BALLOON
GB COLLECTIVE FT BRIAN TEMBA & REASON – CHOCOLATE VANILLA
DONALD – CRAZY BUT AMAZING
NIYOLA – TOH BAD

MOST GIFTED HIP HOP
CASSPER NYOVEST – DOC SHEBELEZA
KHULI CHANA FT DA L.E.S & MAGESH – HAPE LE HAPE 2.1
PHYNO – ALOBAM
K.O. FT KID X – CARACARA
AKA – CONGRATULATE

MOST GIFTED SOUTHERN
DJ CLOCK FT BEATENBERG – PLUTO (I REMEMBER)
CASSPER NYOVEST – DOC SHEBELEZA
AKA – CONGRATULATE
ZEUS – PSYCH
K.O. FT KID X – CARACARA

MOST GIFTED WEST
R2BEES FT WIZKID – SLOW DOWN
DAVIDO – AYE
BURNA BOY FT D’BANJ – WON DA MO
OLAMIDE – TURN UP
DR SID FT DON JAZZY – SURULERE

MOST GIFTED EAST
SAUTI SOL – NSHIKE
DIAMOND – NUMBER ONE
NAVIO – NO HOLDING BACK
EDDY KENZO – SITYA LOSS
ELANI – KOOKOO

MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR
EMMY GEE FT AB CRAZY & DJ DIMPLEZ – RANDS AND NAIRAS
DAVIDO – AYE
K.O. FT KID X – CARACARA
BURNA BOY – RUN MY RACE
TIWA SAVAGE FT DON JAZZY – EMINADO
DR SID FT DON JAZZY – SURULERE
RIKY RICK FT OKMALUMKOOLKAT – AMANTOMBAZANE
CASSPER NYOVEST – DOC SHEBELEZA
SARKODIE – ILLUMINATI
DJ CLOCK FT BEATENBERG – PLUTO (I REMEMBER)
AKA – CONGRATULATE
DIAMOND – NUMBER ONE

TANZANIA YAJITOSHELEZA KWA CHAKULA KWA ASILIMIA 124

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza akizungumza na waandishi wa habari ( hawapo pichani) juu ya mafanikio ya uzalishaji wa chakula nchini kwenye viwanja vya Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza akizungumza na waandishi wa habari ( hawapo pichani) kwenye…
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza akizungumza na waandishi wa habari ( hawapo pichani) juu ya mafanikio ya uzalishaji wa chakula nchini kwenye viwanja vya Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza akizungumza na waandishi wa habari ( hawapo pichani) kwenye viwanja vya Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) jijini Dar es Salaam Kushoto ni Mkuregenzi wa Mipango na Uendeshaji wa NFRA, Anna Ngoo.
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza akizungumza na waandishi wa habari ( hawapo pichani) kwenye viwanja vya Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) Charles Walwa na kushoto ni Mkuregenzi wa Mipango na Uendeshaji wa NFRA, Anna Ngoo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) na waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza.
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza, akiangalia magunia ya vyakula yaliyohifadhiwa kwenye ghala la Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) baada ya kuzungumza na waadhishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza, akitoa ufafanuzi kwa mmoja wa waandishi wa habari kabla ya kuondoka kwenye viwanja vya Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA).Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa
(NFRA) Charles Walwa. Picha na Hussein Makame-MAELEZO.

EXCLUSIVE : NEW AUDIO:SHE SAID NOTHING-CASH MAJJOR(PRDCZR BERRY K).


Nelson Fortidas a.k.a Pretty Boy (@Prettylow) – 
Pakua rasmi wimbo mpya wa  Msanii anayewakilisha Dodoma Tanzania “Petty Boy” HAPA https://www.hulkshare.com/gujjuburn/she-said-nothing-cash-majjor ikiwa ni project toka kwa Producer ZR BERRY K  maalum kupitia www.hulkshare.com PEKEE Kwa mahojiano/mawasilano zaidi check na PrettyBoy  kwa +255 789 767 262 pia follow @Prettyboy @crispaseve @,Tembelea www.crispaseve.blogspot.com au www.bamiza.com kwa info zaidi powered by www.bamiza.com
Skiliza Na Download  Hapa!!

Pretty Boy aikimbiza dar city

Mimi ni msanii wa mziki RnB na HipHop  anayetambulika kwa jina la Nelson Fortidas aka Pretty Boy mwanzoni nilijulikana kama Cashflow major nikiwa anafanyia kazi zangu online na wasanii wengine  chipukizi  kwenye  mitandao ya myspace, reverbnation, Audio mark na world Hip hop .com na You Tube wengi wao kutoka marekani na Kenya na baadhi kutoka A town. Nilikua nimefanya ngoma mbili na wasanii chipukizi wa mareka
ni kabla sijaamua kustisha mziki mwaka 2012 na kufanya shughuri zangu nyingine tofauti na muziki nilikua nimeajiriwa na kampuni ya Electronic voucher,pamoja na Airtel Money Dodoma municipal kama meneja. Baada ya kujiridhisha kua sasa naweza kufanya muziki kama sehemu ya maisha yangu nimeamua kurudi upya na jina langu la usanii ni Pretty Boy sio Tena Cashflow Majjor .
 ***TEN MILLS BASEMENT*** THE CHAMP!
Mipango yangu ya sasa ni kujitambulisha  kwenye  industry ya music ya Africa Mashariki na Dunia nzima kama msanii anaye fanya music wa RnB na Hip Hop  pia kuteka soko la muziki kama msanii chipukizi mwenye kipaji cha ukweli Duniani.  
nimefanya ngoma yangu ya kwanza mwaka 2009 nikiwa Bukoba na producer chief Elia nilipokwenda chuo nkakutana na producer Luis nikafanya naye  nyimbo iliyoita make it happen kwa producer Kidmoney baadaye nilifanya ngoma nyingine mbili kutoka north block record iliyoko Arusha iliyoko chini ya luis Markos pia nikafanya track  moja pamoja records chini ya Nasi B nyimbo iliitwa Victory,mwaka 2012 nikaachia mix tape yangu yenye nyimbo 6 ambayo ilinipa mwanga wa mafanikio pia nilirecord nyimbo mbili remix na mshikaji Demonah Usa Pamoja na jamaa mwingine kutoka Kenya na mwingine Singbird Kutoka USA pia ilinipa moyo wa kusonga mbele nilistisha mziki rasimi 2012 mwezi wa tatu. Mwaka 2013 mwezi wa tano nikaanza tena kujihusisha na muziki nilirecord nyimbo mbili za rapp Amma Gujjuburnton  na mwingine the City is Down chini ya producer Kidmoney wa B1 records. Sikufurahishwa na ubora wa nyimbo zile nkasitisha mpango wangu wa kuvamia game ya muziki ikabidi nijipange upya mwaka 2014 ndipo nkarecord nyimbo mbili za RnB soul na Rnb Pop moja  ni Be gud to me Girl nyingine ni She said Nothing kutoka kwa producer mkari Belly K ndani ya Choice Records inayomilikiwa na Ambogo The Boss. Ni nyimbo za ukweli ambazo nimeamua kujitambulisha nazo kwenye gemu najiamini na naziamini kuwa ni nyimbo nzuri na mashabiki watazikubali. Bado kuna mishale ya ukweli jikoni ambayo inawasubiri wapenzi wa muziki kaa mkao wa kula. Tofauti muziki mimi nimesoma bachela ya Biashara na Fedha
Natanguliza shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu ambaye amekua pamoja katika kipindi kigumu cha mahangaiko ya hapa na pale katika kuvuka madaraja mbalimbali ya maisha yangu nawashukuru Luis Markos kwa kukiona kipaji changu pia kid money na washikaji  wa ukweli Belly K na Ambogo the Boss janeth popote alipo na familia yangu kiujumla pamoja na mashabiki wangu wote kwa ujumla.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...