Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Msanii chipukizi ambaye anapenda kufuata nyao za diamond platnum Ruby Platinum



Msanii chipukizi ambaye anapenda kufuata nyao za diamond platnum na ndo maana akaamua kujiita jina la ruby platinum mpaka sasa kisharecord nyimbo mbili nyimbo ya kwanza inaitwa kuwa nawe na ya pili ni shake body ni mkazi wa pemba na kaja dar es saalam kwa ajili ya shughul za kuiimba ila kwa upande wake ansema anatafuta 
mdhamin mwenye kupeleka nyimbo zake katka radio mbali mbali ili ajulikane zaid na watu wapokee kazi zake kwa uzuri zaid kwa sasa anatarajia kuingia katika studio ya bob junior sharo baro record ili kwenda kurecord nyimbo yake ya tatu ila bado wadhamin wako chini sana kiupande wake msanii huyu ruby plutnium anapatikana maeneo ya kilimanjaro pub magomen mapipa mkabala na studio ya sharobaro record na show zake hufanyika kilimanjaro pub,lango la jiji,

 flamingo club,mambaclub,masai club kwa upande wa mikoani kishafanya show merry view club arusha,uwanja wa ushirika kilimanjaro nk.kubwa zaid zaid anatafuta promo na wasanii wakubwa apate kushirikiana nao ili apate kuitangaza kazi zake zaid.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...