Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

NEYMAR AKISAFIRISHWA KWA CHOPA KWENDA KWAO BAADA YA KUTOKA HOSPITALI


home
Mchezaji aliyekuwa tegemezi kwenye mechi za kombe la dunia za timu ya Brazil Neymar Jr, hatimaye amepelekwa kwao Guaruya, Sao Paulo kwa ajili ya mapumziko. Neymar amepata matibabu baada ya kupata maumivu kwa kugongwa kifuti kwenye uti wa mgongo na mchezaji wa Colombia wakiwa uwanjani.

Neymar alipelekwa na helicopter kwenye uwanja wa mazoezi ambapo alikutana na wachezaji wenzake, baadae alikutana na waandishi pamoja na mashabiki na safari ikaelekea Sao Paulo. 1
2
3

4

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...