Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Pretty Boy aikimbiza dar city

Mimi ni msanii wa mziki RnB na HipHop  anayetambulika kwa jina la Nelson Fortidas aka Pretty Boy mwanzoni nilijulikana kama Cashflow major nikiwa anafanyia kazi zangu online na wasanii wengine  chipukizi  kwenye  mitandao ya myspace, reverbnation, Audio mark na world Hip hop .com na You Tube wengi wao kutoka marekani na Kenya na baadhi kutoka A town. Nilikua nimefanya ngoma mbili na wasanii chipukizi wa mareka
ni kabla sijaamua kustisha mziki mwaka 2012 na kufanya shughuri zangu nyingine tofauti na muziki nilikua nimeajiriwa na kampuni ya Electronic voucher,pamoja na Airtel Money Dodoma municipal kama meneja. Baada ya kujiridhisha kua sasa naweza kufanya muziki kama sehemu ya maisha yangu nimeamua kurudi upya na jina langu la usanii ni Pretty Boy sio Tena Cashflow Majjor .
 ***TEN MILLS BASEMENT*** THE CHAMP!
Mipango yangu ya sasa ni kujitambulisha  kwenye  industry ya music ya Africa Mashariki na Dunia nzima kama msanii anaye fanya music wa RnB na Hip Hop  pia kuteka soko la muziki kama msanii chipukizi mwenye kipaji cha ukweli Duniani.  
nimefanya ngoma yangu ya kwanza mwaka 2009 nikiwa Bukoba na producer chief Elia nilipokwenda chuo nkakutana na producer Luis nikafanya naye  nyimbo iliyoita make it happen kwa producer Kidmoney baadaye nilifanya ngoma nyingine mbili kutoka north block record iliyoko Arusha iliyoko chini ya luis Markos pia nikafanya track  moja pamoja records chini ya Nasi B nyimbo iliitwa Victory,mwaka 2012 nikaachia mix tape yangu yenye nyimbo 6 ambayo ilinipa mwanga wa mafanikio pia nilirecord nyimbo mbili remix na mshikaji Demonah Usa Pamoja na jamaa mwingine kutoka Kenya na mwingine Singbird Kutoka USA pia ilinipa moyo wa kusonga mbele nilistisha mziki rasimi 2012 mwezi wa tatu. Mwaka 2013 mwezi wa tano nikaanza tena kujihusisha na muziki nilirecord nyimbo mbili za rapp Amma Gujjuburnton  na mwingine the City is Down chini ya producer Kidmoney wa B1 records. Sikufurahishwa na ubora wa nyimbo zile nkasitisha mpango wangu wa kuvamia game ya muziki ikabidi nijipange upya mwaka 2014 ndipo nkarecord nyimbo mbili za RnB soul na Rnb Pop moja  ni Be gud to me Girl nyingine ni She said Nothing kutoka kwa producer mkari Belly K ndani ya Choice Records inayomilikiwa na Ambogo The Boss. Ni nyimbo za ukweli ambazo nimeamua kujitambulisha nazo kwenye gemu najiamini na naziamini kuwa ni nyimbo nzuri na mashabiki watazikubali. Bado kuna mishale ya ukweli jikoni ambayo inawasubiri wapenzi wa muziki kaa mkao wa kula. Tofauti muziki mimi nimesoma bachela ya Biashara na Fedha
Natanguliza shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu ambaye amekua pamoja katika kipindi kigumu cha mahangaiko ya hapa na pale katika kuvuka madaraja mbalimbali ya maisha yangu nawashukuru Luis Markos kwa kukiona kipaji changu pia kid money na washikaji  wa ukweli Belly K na Ambogo the Boss janeth popote alipo na familia yangu kiujumla pamoja na mashabiki wangu wote kwa ujumla.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...