IBRAHIMU MAOKOLA AJIFUA KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE MARCH 2
Bondia
Ibrahimu Maokola akifanya mazoezi ya kupiga panch bag wakati wa
kujiandaa na mpambano wake na Rajabu Majeshi utakaofanyika katika ukumbi
wa DDC Magomeni Kondoa March 2 Mpambano huo utakua wa utangulizi kabla
ya mpambano wa Maneno Osward na Japhert Kaseba,Picha na www.superdboxingcoach. |
No comments:
Post a Comment