Wanafunzi waliomaliza darasa la saba katika shule ya Msingi Mzinga, Dar es Salaam,wakitumbuiza kwa kwaya wakati wa mahafali yao jana.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Mzinga, Cassian Shauritanga akihutubia wakati wa mahafali hayo ya darasa la saba
Baadhi ya wazazi na wageni waalikwa wakiwa katika mahafali hayo
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Mzinga, Cassian Shauritanga akihutubia wakati wa mahafali hayo ya darasa la saba
Baadhi ya wazazi na wageni waalikwa wakiwa katika mahafali hayo
Wanafunzi waliomaliza darasa la saba wakifanya igizo ikiwa ni moja ya vionjo vya mahafali hayo
Mwanafunzi Hassan Maulidi na Rukia Omar wakiigiza
No comments:
Post a Comment