TASWIRA ZA LADY JAY DEE NA FAMILIA YAKE WALIPOTOA MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA MAUNGA CENTRE KINONDONI JIJINI DAR
![]() |
Pichani Juu na Chini ni Wanafamilia wa Jay Dee wakipakia mizigo tayari kuelekea kituo cha kulelea watoto yatima cha Maunga Centre kwa ajili ya kukabidhi msaada.
![]() |
Baadhi ya wanafamilia katika pozi kabla ya kuanza safari ya kuelekea kituo cha watoto yatima cha Maunga Centre.
![]() |
Kiongozi wa msafara LadyJay Dee akielekea kupanda usafiri maalum ulioandaliwa.
![]() |
Wanafamilia ndani ya basi kuelekea Maunga Cente kituo cha watoto yatima kwa shughuli nzima ya kukabidhi msaada.
![]() |
Wanafamilia Ester Ulaya Cathbert na Maggie wakifanya shopping katika maduka ya Kinondoni njiani kuelekea kituo cha watoto yatima cha Maunga Centre.
![]() |
Judith G. Habash a.k.a Komando Binti Machozi Lady Jay Dee akiwasili na Familia yake katika Kituo cha kulelea watoto yatima cha Maunga Centre kilichopo maeneo ya Kinondoni Hananasifu.
![]() |
Wanafamilia wa Jay Dee wakishuka kwenye basi baada ya kuwasili.
![]() |
Vijana wa Familia ya Jay Dee wakishusha msosi ulioandaliwa Nyumbani Lounge kwa ajili ya watoto yatima wa Kituo cha Maunga Centre
No comments:
Post a Comment