Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

MAONYESHO YA KWANZA YA TANZANIA HOMES EXPRO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kuhusu ujenzi wa Nyumba za Shirika la nyumba la Taifa, NHC, kutoka kwa Ofisa Masoko wa Shirika hilo, Mariam Ndabagenda, wakati Makamu alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonyesho ya kwanza ya Tanzania Homes Expro, yaliyofanyika Juni 10 katika Viwanja vya Mlimani City Mwenge jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Mauzo wa Shirika hilo, William Genya (wa pili kulia) ni Ofisa Mauzo Mwandamizi wa Shirika hilo, Emmanuel Lyimo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kuhusu ujenzi wa Nyumba 220 zinazojengwa eneo la Jangwani Beach, jijini Dar es Salaam, zinazotarajia kutumia jumla ya Sh. Milioni 208, kutoka kwa Ofisa Mtendaji wa Kampuni ya Global Land Solutions Ltd, Murtaza Adamjee.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...