MAONYESHO YA KWANZA YA TANZANIA HOMES EXPRO
Yaliyojiri katika Mkutano wa CCM kwenye Viwanja vya Jangwani Jumamosi Juni 09
![]() |
| Vijana wakichangamka kurudisha kadi za Chadema mbele ya Nape na Kinana. |
![]() |
| Vijana wakishangilia kwenye mkutano wa CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam. |
![]() |
| Maelfu ya watu wakiwa kwenye mkutano wa CCM, Viwanja vya Jangwani Dar es Salaam. |
![]() |
| Mlia nguo za CCM, wakiwa kwenye mkutano huo. |
![]() |
| Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nauye akihamasisha kwenye mkutano huo, Kushoto ni Mlezi wa mkoa wa Dar, Abdulrahman Kinana. |
![]() |
| Wana-CCM wakiwa na bango lenye ujumbe maalum. |
![]() |
| Moja ya mabango yenye ujumbe muhimu. |
![]() |
| Bango la kumpongeza Rais Jakaya Kikwete, Mwenyekiti wa CCM Taifa. |
![]() |
| Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Stephen Wasira Uratibu na mahusiano, akizungumza kwenye mkutano huo. |
![]() |
| Waziri wa Ardhi , Profesa Anna Tibaijuka akihutubia. |
![]() |
| Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe akihutubia. |
![]() |
| Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli akihutubia. |
![]() |
| Waandishi wa habari wakiwa kazini kwenye mkutano huo. |
![]() |
| Watangazaji wa TBC1 wakiwa live kwenye mkutano huo. |
![]() |
| Mamia ya kadi za vyama vya upinzani zilizorudishwa. |
![]() |
| Nape akicharaza gitaa na bendi ya Vijana Jazz. |
![]() |
| Viongiozi wa CCM waliohudhuria mkutano huo. |
![]() |
| Msanii Chege akitumbuiza. |


















No comments:
Post a Comment