TAMASHA LA MAGARI LAFANA
Mkurugenzi Msaidizi wa Viwanda, Wizara ya Viwanda na Biashara, Deo Ndunguru, akiendesha kifaa cha kufundishia madereva wapya, wakati alipotembelea banda la Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), alipokuwa akilifungua tamasha la magari na mambo yanayohusiana na magari, Viwanja vya Posta, Kijitonyama Dar es Salaam. Anayemuelezea ni Mwalimu wa madereva wa chuo hicho, William Venge.PICHA NA KASSIM MBAROUK
No comments:
Post a Comment