Konyagi Yalamba Tuzo Ya Kimataifa
Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited,Khadija Madawili (kulia) akionesha katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, tuzo maalumu ya kimataifa iliyopata hivi karibuni, baada ya kuwa kampuni bora katika masuala ya chakula na vinywaji ya New Millenium 2011. Kushoto ni Meneja wa Fedha wa kampuni hiyo, Mustafa Nassor akionesha cheti kilichoambatana na tuzo hiyo.
No comments:
Post a Comment