Mwenyekiti
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh Ramadhan Kijjah akiongea na waandishi
wa habari mara baada ya kumaliza kutembelea banda la PPF ili kujionea
utendaji kazi wa Wafanyakazi wa PPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara
ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba
Mmoja
wa wateja waliotembelea banda la PPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara
ya Kimataifa ya Dar Es Salaam akijaza fomu ya kujiunga na Mfuko wa
Pensheni wa PPF katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa
yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Sabasaba.Anayemuelekeza
Pembeni ni Afisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, BwMohamed Siaga
Maafisa
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakiwahudumia baadhi ya wateja waliofika
katika banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara ya
Dar Es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba vilivyopo Katika
Barabara ya Kilwa, Jijini Dar Es Salaam
Mwanasheria
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Nyambilila Ndoboka akitoa ufafanuzi kwa
mteja aliyefika katika Banda la PPF kwaajili ya kupenda kufahamu hatua
za kisheria zinazochukuliwa pindi pindi mwajili au mwanachama wa PPF
anaposhindwa kuwasilisha Michango kwa Wakati kwenye Mfuko wa Pensheni wa
PPF.
Afisa
Mafao wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mercy Sammy akimuhudumia mmoja wa
wateja waliofika katika banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara
ya Kimataifa ya Dar Es Salaam kwaajili ya Kujipatia huduma mbalimbali
kutoka PPF.
Afisa Uwekezaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Anna
Shayo akiwauhudumia wateja waliofika katika Banda la PPF kwaajili ya
kupata maelekezo juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Mfuko huo wa
PPF katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam.
Afisa
Mafao wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Hellen Mollel (kushoto) akitoa
ufafanuzi wa maswali aliyoulizwa na mmoja wa wateja waliotembelea banda
la PPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam
yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba vilivyopo Barabara ya Kilwa
Jijini Dar Es Salaam.Picha na Josephat Lukaza - Lukaza Blog
No comments:
Post a Comment