Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

KUMBUKUMBU YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR 1964


 Mwalimu Julius Nyerere akichanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar, huku akishuhudiwa na Rais wa Zanzibar, Abeid Aman Karume, (wa tatu kushoto) na Rashid Kawawa (wa kwanza kulia) wakati wa sherehe za kwanza za Muungano zilizofanyika Aprili 26, 1964.
Sahihi za waasisi wa Muungano wa Tanzania, Hayati Julius Nyerere (kushoto) na Abeid Aman Karume.n
Waasisi wa Muungano, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere (kushoto) na Hayati Abeid Aman Karume.
 Waasisi wa Muungano wa nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere (kushoto) na Hayati,  Abeid Aman Karume (kulia waliokaa) wakisaini nyaraka za Muungano mwaka 1964.
Mwalimu Julius Nyerere (kushoto) na  Sheikh Abeid Amani Karume (kulia) wakibadilishana Hati za Muungano wa Tanganyika na  Zanzibar Aprili, 1964.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...