NAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA AKUTANA NA BALOZI WA IRELAND NCHINI
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria,Mhe. Angellah Kairuki akifafanua jambo
kwa Mgeni wake ambaye ni Balozi wa Ireland Nchini,Mhe. Fionnula Gislen wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika leo Ofisini kwa Mhe. Kairuki,jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment