MAMIA WAMUAGA MAMA WA UFOO SARO,YADAIWA MUUAJI ALIMPIGA RISASI TANO.
Mamia
ya wakazi wa Kibaha mkoani pwani pamoja na jiji la Dar es Salaam jana
walimiminika kwa wingi nyumbani kwa Marehemu Anastazia Saro Kibamba
Kibwegere kutoa heshima za mwisho kwa mama wa Mwanahabari Ufoo Saro
aliye uwawa kwa kupigwa risasi na mzazi mwenza wa binti yake huyo ambaye
pia alijeruhiwa kwa risasi.
Kwa
mujibu wa ripoti ya madkatari walioufanyia uvchunguzi mwili wa
Marehemu, Muuaji ambaye alitambulika kwa jina la Anthery Mushi ambaye
nae alijiua baada ya kutekeleza tukio hilo alimpiga risasi tano.
Mwili wa marehemu ukiwa nyumbani kwake.
Mwili
wa marehemu ukiingizwa katika Kanisa la KKKT Mtaa wa Kibwegere Kibamba
kwa misa maalum,. Marehemu alikuwa akiimba kwaya ya Usharika huo.
Waombolezaji wakiwa Kanisani hapo.
Rafiki
wa siku nyingi wa Ufoo Saro, Julieth Ngalabali kutoka gazeti la
Mwananchi akiwa amebebna shada la maua na mwombolezaji mwingine.
Wanahabari waliofika msibani hapo.
Nje ya Kanisa hilo.
Mwili ukiwa ndani Kanisani
Waombolezaji
wakiwa kanisani hapo. Wapili kulia ni Mkurugenzi wa ITV na Redio One,
Joyce Mhavile ambaye wakati wa salamu zake alidai amemwakilisha Ufoo
Saro ambaye yupo Hospitali na ameshindwa kuja kumuaga mama yake. Na
amefanya hivyo kutokana na ombi la Ufoo.
Mtoto
wa Ufoo, Alvin Mushi akiwa na masikitiko na majonzi makubwa baada ya
kuondokewa na Bibi yake. Alvin anadaiwa kulelewa na Bibi na Babu.
Waombolezaji…
Ilikuwa simanzi kubwa kwa Bi Joyce Mhavile boss wa Ufoo Saro.
Mkurugenzi wa ITV na Redio One, Joyce Mhavile akitoa heshima za mwishi. Picha ya juu ni mwana jamii.
Waombolezaji wakitoa heshima za mwisho, picha ya chini ni wanakwaya wenzake na Marehemu.Picha kwa hisani ya JAMII BLOG.
No comments:
Post a Comment