Ongusi Olando Makongoro Anatoa shuklani za za dhati hapo jana kwa kushukuru Mungu mpaka hapo alipofikia katika masomo yake
na hivi ndivyo alivyoandika katika page yake ya facebook jana...
"Habari
zenyuuuuuuuu,awali ya yote ninamshukuru muumba kwa yote, wapendwa
ninawakaribisha sana leo, its my day, hayawi hayawi yamekuwaaa, today
navaa kitu cha joho pale kati, yaani ful maraha, nawakaribisha mno
kwenye my Graduation Ceremony,
nawapenda woteeeeee, ur welcom, karibun
tupige mapicha nini nini, yaaani vitu kama hivyo, il mrad ni furaha,
three years, umri wa mtt wangu kabisa, yaani Mungu ni mwema ni kwa neema
yake leo, niko hapa na nina furaha hatariiii"
Hongera dada Mungu Akujalie Mafanikio Mema.
No comments:
Post a Comment