Rapper kutoka jiji la Miami William Leonard Roberts II(37),
maarufu kama RICK ROSS aliyekuwa na mwili mnene(Bonge) hatimaye ameweza
kupunguza kilo za kutosha baada ya kuandamwa na magonjwa ya presha na
moyo kwa muda wa miaka miwili iliyopita.
Rapa huyo ambaye alianza Diet ya kupunguza mwili wake tangu
mwaka jana kwa kufanya mazoezi ya kutosha ameweza kupunguza takriban
kilo 50 ambazo zimemfanya kwa sasa kuonekana na muonekano mdogo tofauti
na hapo awali, Unaweza ukamtazama Big Boss huyo wa Maybach Records.
No comments:
Post a Comment