DR NDALICHAKO AONDOKA NECTA NA NAFASI YAKE YACHUKULIWA NA ALIYEKUWA MSAIDIZI WAKE DR CHARLES MSONDE
Yathibitishwa,
Dr Ndalichako aondoka NECTA. Uthibitisho huu umetoka kwa mwenyekiti wa
Bodi ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Prof Rwekaza Mukandala kuwa
Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Joyce Ndalichako ameondoka NECTA na nafasi
yake sasa inakaimiwa na Dr Charles Msonde aliyekuwa msaidizi wake.
Kwa chanzo na Habari zaidi BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment