Ommy Dimpoz akikamua ndani ya Dar Live. ...Mashabiki wakipagawa na Dimpoz.Joh Makini 'Mwamba wa Kaskazini' akilishambulia jukwaa la Dar Live.Wanenguaji wa Twanga wakionesha manjonjo.Mwamba wa Kigamboni, Bahati Chaz ‘Mr B’ akishusha mistari ya hip hop Dar Live.Masai wa Kigoma akifanya makamuzi.
No comments:
Post a Comment