KATIBU
MKUU WA CCM, ABDULRAHMAN KINANA AKIWA KATIKA ZIARA YAKE MCHUCHUMA
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kulia) akionyeshwa sampuli
mbalimbali za madini ya chuma kwenye kituo kinachofanya utafiti wa awali
kuhusu kiwango cha chuma kinachoweza kupatikana kwa kuchimbwa eneo la
Liganga, wilayani Ludewa mkoani Njombe alipotembelea karakana ya kampuni
ya Kichina ya Tanzania China International Mineral Resorce Ltd,
inayofanya uchunguzi huo. Anayempa maelezo ni Meneja Utawala wa kampuni
hiyo, Tao Jian. Kushoto ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape
Nnauye.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kulia) akionyeshwa sampuli
mbalimbali za madini ya chuma kwenye kituo kinachofanya utafiti wa awali
kuhusu kiwango cha chuma kinachoweza kupatikana kwa kuchimbwa eneo la
Liganga, wilayani Ludewa mkoani Njombe alipotembelea karakana ya kampuni
ya Kichina ya Tanzania China International Mineral Resorce Ltd,
inayofanya uchunguzi huo. Anayempa maelezo ni Meneja Utawala wa kampuni
hiyo, Tao Jian.
Tao
Jian akiwaonyesha Kinana na msafara wake, ramani linalofanyiwa kazi na
kampuni yake katika kutafiti aina na kiasi cha Chuma kitakachoweza
kupatikana Liganga
Mabosi
wa Kampuni ya Kichina inayofanya utafiti wa aina na kiasi cha chuma
kitakachopatikana Liganga, wakitoa maelezo ya jumla kuhusu mradi huo
unavyoendelea
Kilima cha madini ya Chuma, kinavyoonekana kwa mbali eneo la Liganga PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
No comments:
Post a Comment