MKURUGENZI MKUU WA WIPO FRANCIS GURRY AWASILI NCHINI TANZANIA KUHUDHURIA MKUTANO WA SIKU MBILI UNAOANZA LEO
Mkurugenzi Mkuu wa
World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry (wa pili
kulia) akipokelewa na mwenyeji wake Mkurugenzi wa Uhamasishaji Biashara
na Masoko wa Wizara ya Viwanda na Biashara Odilo Majengo (kulia) kwa
niaba ya Waziri Dkt. Abdallah Kigoda mara baada ya kuwasili katika
Uwanja wa ndeege wa Kimataifa wa Mwl. JK Nyerere jijini Dar. Wa Pili
kushoto ni Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Dkt. Alberic Kacou.
Mkurugenzi Mkuu wa
World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry na
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Dkt. Alberic Kacou wakielekea
katika chumba maalum cha wageni maalum kwenye Uwanja huo.
Mkurugenzi Mkuu wa
World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry
akibadilishana mawazo baadhi ya maafisa mbambali wa Wizara.
Mkurugenzi Mkuu wa
World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry
akizungumza na mwenyeji wake Mkurugenzi wa Uhamasishaji Biashara na
Masoko wa Wizara ya Viwanda na Biashara Odilo Majengo.
Mkurugenzi Mkuu wa
World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry katika
tete a tete na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Dkt. Alberic Kacou.
Mkurugenzi Mkuu wa
World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry akipitia
moja ya magazeti maarufu nchini Tanzania la The Citizen ambalo
limeandika habari kuhusiana na mkutano aliokuja kuhudhuria. Kushoto ni
Dkt. Alberic Kacou.
Mkurugenzi Mkuu wa
World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry akisaini
daftari la wageni katika chumba maalum cha wageni maalum mara baada ya
kuwasili nchini.
Mkurugenzi Mkuu wa
World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry akiteta
jambo na Mkurugeni Mkazi wa Umoja wa Mataifa Dkt. Alberic Kacou wakati
akijiandaa kuondoka katika Uwanja wa ndege. Kushoto ni Mkurugenzi wa
Uhamasishaji Biashara na Masoko wa Wizara ya Viwanda na Biashara Odilo
Majengo.
Mkurugenzi Mkuu wa World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry akiingia kwenye gari maalum kuelekea hotelini.
Mkurugenzi Mkuu wa
World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry akiwasili
hotelini na kulakiwa na baadhi ya maofisa wa WIPO.
Mkurugenzi Mkuu wa
World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry akipewa
maelekezo machache kuhusiana na taratibu za mkutano wa kujadili
Changamoto za Maendeleo katika Bara la Afrika katika mkutano nchini
Tanzania.Picha Zote na Zainul Mzige wa Mo Blog.
Mkurugenzi Mkuu wa World
Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry amewasili
nchini Tanzania leo kuhudhuria mkutano utakao zungumzia pamoja na mambo
mengine Changamoto za Maendeleo katika Bara la Afrika.
Katika Mkutano huo wa siku mbili
unaotarajiwa kuanza kesho pia wadau watazungumzia nafasi ya WIPO katika
Kuchochea Maendeleo barani Afrika.
Mkutano huo utakaohitimishwa kesho
kutwa utamalizika kwa kwa kuwa na kipindi cha majadiliano na kutoa
maoni, ambapo wadau watatoa mitazamo yao kuhusiana na ajenda
zilizowasilishwa na kutafuta mwelekeo wa pamoja.
No comments:
Post a Comment