NMB YAIBUKA KIDEDEA KATIKA TUZO ZA SUPER BRAND
Mkuu wa masoko na mawasiliano wa
NMB,Imani Kajula akipokea tuzo ya super brand kutoka kwa mkurugenzi wa
super brand East Africa Jawad Jaffer.
Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Mark
Wiessing akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Clouds Media Group, Joseph
Kussaga (Kulia) na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NMB Imani Kajula.
Baadhi ya wafanyakazi wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa NMB wakiwa na tuzo ya super brand 2013-2014
Baada ya miaka saba ya
uwekezaji endelevu katika kuboresha huduma, masoko na mtandao wa matawi.
NMB sasa inazaidi ya matawi 148, ATM zaidi ya 500, wateja wanaotumia
NMB mobile kupata huduma zaidi ya 800,000 na huduma mbadala kama
intenet banking, kituo cha huduma kwa wateja na POS. Wateja wa NMB sasa
wanapata huduma popote walipo bila kuhitajika kwenda kwenye tawi la NMB.
Maboresho hayo yameiwezesha NMB kutunukiwa kuwa Super Brand mwaka
2013-2014. NMB imekua namba moja katika sekta ya benki.
No comments:
Post a Comment