Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiongea na Dkt Idris Jala wa kitengo
cha usimamizi na utekelezaji kiitwacho PEMANDU (Performance Management
and Delivery Unit) cha Malaysia na ujumbe wake ofisini kwake jijini Dar
es salaam Februari 21, 2013. Katikati ni Dkt Philip Mpango, Katibu
Mtendaji wa Tume ya Mipango. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment