SANDE KIZITO WA UGANDA NA MTANZANIA RAMADHANI SHAURI WAMEPIMA UZITO LEO KWA AJILI YA MPAMBANO WA IDI PILI
| Bondia Sande Kizito wa Uganda akipima Uzito leo kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa IBF Africa litakalofanyika katika ukumbi wa Diamond Jublee kushoto ni Mpinzani wake Ramadhani Shauri |
| Rais wa TPBO Yasin Abdallah kulia akepeana mkono wa idi na Mtangazaji wa Radio Times Kondo walipokutana wakati wa sikukuu ya idi |
| UBINGWA WA IBF AFRICA HADHARANI KESHO |
| Ramadhani Shauri wa Tanzania kushoto na Sande Kizito wa Uganda wakitunishiana misuri leo wakati wa upimaji wa uziti picha na www.superdboxingcoach. |
No comments:
Post a Comment