RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA KARAKANA (HANGA) YA NDEGE ZA SHIRIKA LA NDEGE LA PRECISION AIR
![]() |
| Mkurugenzi wa Hoteli ya Kibo Palace ya Arusha Bw Vicent Laswai naye amehudhuria katika uzinduzi huo kama mdau wa Utalii. |
![]() |
| Rais Jakaya Kikwete akihutubia wageni waalikwa katika uzinduzi huo. |
![]() |
| Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na mzee Peter Kisumo mara baada ya uzinduzi huo kulia ni Mkurugenzi wa Hoteli ya Kibo Palace ya Arusha. |
| Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Hoteli ya Kibo Palace ya jijini Arusha |
![]() |
| Wafayakazi wa Precision Air wakiwa katika hafla hiyo ya uzinduzi. |
![]() |
| Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo. |
![]() |
| Mmoja wa mainjinia wa ndege za shirika hilo akirekebisha moja ya ndege za shirika hilo iliyoko kwenye (Hanga) Karakana hiyo. |
![]() |
| Hili ndilo jengo la Karakana yenyewe (Hanga) kama linavoonekana katika picha. |













No comments:
Post a Comment