...Burudani zikiendelea. Kundi la Glorious Celebration likifanya makamuzi katika Tamasha la Matumaini ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam muda huu.
Wachezaji wa Bongo Movie na mashabiki wake wakishangilia bao lao lililofungwa na Kiduko.
Timu zikiingia uwanjani.
Benchi la Bongo Movie.
Mchezaji wa Bongo Fleva akiwa chini wakati mechi ikiendelea. (PICHA NA ERICK EVARIST/GPL)
No comments:
Post a Comment