Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Yarejea Nchini

 Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es Salaam jana usiku wakitokea nchini Msumbuji waliposhiriki katika Mchezo wa  mtoano wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika CAF. Taifa Stars ilitolewa katika michuano hiyo kw kufungwa kwa mikwaju ya penati na Msumbiji 8-7.
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwa ndani ya basi mara baada ya Kuwasili katika Uwanja  wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es Salaam jana usiku wakitokea nchini Msumbuji waliposhiriki katika Mchezo wa  mtoano wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika CAF. Taifa Stars ilitolewa katika michuano hiyo kw kufungwa kwa mikwaju ya penati na Msumbiji 8-7.Picha na Mdau Mroki Mroki

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...