MREMBO LISA JENSEN ANYAKUA TAJI LA REDDS MISS WORLD TANZANIA USIKU WA KUAMKIA LEO, KUWAKILISHA TANZANIA MISS WORLD
![]() |
| Miss Tanzania Salha Israel akimvisha taji mrembo Lisa Jensen mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano hilo usiku huu |
![]() |
| Warembo wa Redds Miss World Tanzania wakicheza shoo ya ufunguzi |
![]() |
| Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania Hashim Lundenga akijichanganya na wageni waalikwa katika shindano hilo. |
![]() |
| Baadhi ya Majaji wa shindano hilo wakijadili jambo kutoka kulia ni Mshauri wa kamati ya Miss Tanzania Ramesh Shah, Miriam Ikoa na Prashant Patel Mwenyekiti wa kamati ya Miss Tanzania |
![]() |
| Warembo hao wakipta jukwaani na vazi la jioni |
![]() |
| Wakionyesha Shoo yao ya ufunguzi. |
![]() |
| Mrembo Hamisa Hassan akipita na vazi la ubunifu |
![]() |
| M rembo Pendo Laizer akipita na vazi la ubunifu |
![]() |
| Mshauri wa kamati ya Miss Tanzania Ramesh Shah akitangaza warembo walioingia katika tano bora |











No comments:
Post a Comment