KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YATEMBELEA KITUO CHA UMEME-KISUTU
Meneja wa Tanesco Mkoa wa Ilala, Mhandisi Athanasius Nangali(wa pili kushoto) akifafanua jambo kwa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, ilipotembelea kituo cha kuzalisha umeme kilichopo Kisutu, Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Selemani Zedi, akizungumza na waandishi wa habari
Meneja wa Tanesco Mkoa wa Ilala, Mhandisi Athanasius Nangali akionesha mitambo ya Umeme katika kituo cha kuzalisha Umeme cha Kisutu.(Picha na Hellen Ngoromera).
No comments:
Post a Comment