Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

RAIS KIKWETE AWAAPISHA WAJUMBE WA KAMATI YA MABADILIKO YA KATIBA

Rais Jakaya Kikwete (kulia), akimuapisha Mwenyekiti mteule wa Tume ya Kamati ya Mabadiliko ya Katiba mpya Jaji Joseph Warioba, katika hafla iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam

Mjumbe wa kamati hiyo kutoka Zanzibar, Awadh Ali Said, akila kiapo mbele ya  Rais Jakaya Kikwete.
 Profesa Mwesiga Baregu akiapishwa na JK kuwa mmoja wa wajumbe wa kamati hiyo
Rais Jakaya Kikwete (katikati waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali na wajumbe wa kamati hiyo baada ya kuwaapisha.
Mwenyekiti wa tume ya mchakato wa mabadiliko ya katiba mpya Jaji Joseph Warioba (kulia), akiteta na Makamu Mwenyekiti wa tume hiyo Jaji Mkuu mstaafu, Augustino Ramadhan wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam

Baadhi ya wabunge waliohudhuria hafla hiyo. Kutoka kushoto ni Rahid Hamad Rashid, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia na Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo.
                              Baadhi ya viongozi wa majeshi na usalama wakiwa katika hafla hiyo.
 Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akijadliana jambo na baadhi ya wageni waalikwa katika hafla hiyo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kulia) akiteta jambo na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid (CUF)wakati wa hafla hiyo. Picha zote na Mdau Mwaibale

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...