Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China Mh Li Jonzhao baada ya mgeni huyo na ujumbe wake kumtembelea Ikulu Dar es salaam March 23, 2012 kwa mazungumzo. Katikati yao ni mkalimani na wengine ni ujumbe wa Mh Jonzhao.PICHA/IKULU |
No comments:
Post a Comment