MAADHIMISHO YA MIAKA 5O YA UHURU BUTIAMA KWA MWALIMU NYERERE
Wasanii wa kikundi cha SISI TAMBARA wakitumbuiza wakati wa ufunguzi wa sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanzania bara kwa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo zinazofanyika katika viwanja vya kumbukumbu ya Joseph Kazurira Nyerere, Butiama mkoani Mara. Maonyesho hayo yalizinduliwa juzi na Waziri wa Wizara hiyo, Dk. Emmanuel Nchimbi.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Emmanuel Nchimnbi akiwahutubia wafanyakazi wa Wizara hiyo pamoja na wananchi mbalimbali waliohudhuria sherehe za ufunguzi wa maonyesho ya uhuru wa Tanzania bara kwa Wizara hiyo katika ukumbi wa Joseph Kazurira Nyerere, Butiama mkoani Mara. PICHA NA ANNA ITENDA- MAELEZO
No comments:
Post a Comment