Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Rais wa Zanzibar, Dr. Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye makazi yake Gombani Zanzibar Septemba 12,  2011. Mheshimiwa Pinda alikwenda kumpa pole kuafuatia ajali ya meli iliyozama na kusababisha vifo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Seif Idd (kushoto) Mjini  Zanzibar, Septemba 12,  2011. Mheshimiwa Pinda alikwenda kumpa pole kuafuatia ajali ya meli iliyozama na kusababisha vifo.

1 comment:

crispaseve said...

nafurahia sana habari hii

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...