KAMPUNI ZA BIO RAD NA PYRAMID PHARMA LTD ZAWAKUTANISHA WATAALAM WA MAABARA NA MAMENEJA MIPANGO YA DAMU SALAMA - AFRIKA
| Meneja wa Bio Rad Kusini Mwa Afrika, Ronald Shumba ndiye aliyekuwa Mwongozaji wa mkutano huo. |
| Sehemu ya washiriki wa mkutano huo. |
| Mtaalam wa Maabara wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama Kanda ya Mashariki, Sam Mduma (wa pili kushoto) akitoa maelezo wa washiriki hao. |
| Mtaalam kutoka BIO RAD, Mohamed Shafiek Shaikjee akitoa maelezo.PICHA ZOTE/DAILY MITIKASI BLOG |
No comments:
Post a Comment