Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Kampuni ya MSAMA PROMOTION yakamata mitambo na kazi feki za wasanii mjini dodoma..

Mkurungezi wa kampuni ya MSAMA PROMOTION ,Bwa.Alex Msama pichani akifafanua jambo kwa Wanahabari (hawapo pichani),kuhusiana na tukio zima la kama kamata ya wezi wa kazi za wasanii iliofanyika mjini Dodoma.
Mkurungezi wa kampuni ya MSAMA PROMOTION ,Bwa.Alex Msama pichani mwenye fulana ya mistari akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) Cd za video na Audio Cd za Muziki wa aina mbalimbali pamoja na Kompyuta za kudurufu kazi za wasanii kwa njia ya wizi kwenye  kituo kikuu cha Polisi mkoani Dodoma,mara baada ya kukamilisha zoezi la kusaka na kuwakamata wezi  wa kazi za wasanii,ambapo jumla ya Cd na Computer zenye thamani ya shilingi milioni Sitini na saba zilikamatwa kwa msaada wa Jeshi la Polisi mkoani humo.(PICHA ZOTE NA DIRA MEDIA).

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...