Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Okwi mchezaji bora wa mwaka wa Simba, apewa tuzo yake ashangilia na mashabiki.

Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi akionyesha tuzo yake aliyozawadiawa na klabu ya Simba baada ya kuwa mchezaji bora wa mwaka wa klabu hiyo kwenye tamasha la siku ya simba linalofanyika kila mwaka.
Mashabiki nao walinogesha kwa kumuongezea zwadi ya jezi iliyopewa jina la Okwi Hakunaga.Chanzo;Raha za Pwani Blog

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...