Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

TAMASHA LA SIMBA DAY LATIBUKA,YACHAPWA 3-1 NA NAIROBI CITY STARS UWANJA WA TAIFA JIONI HII

Mchezaji wa timu ya Simba akimiliki mpira mbele ya beki wa timu ya Nairobi City Stars katika mchezo wa kirafiki wa tamasha la Simba Day linalofanyika kwenye uwanja wa Taifa Tamasha hilo limeandaliwa na klabu ya Simba na hufanyika  kila mwaka Agosti 8 na kushirikisha timu marafiki wa klabu hiyo huku wachezaji na viongozi mbalimbali wakipewa zawadi kwa mchango wao kwa klabu hiyo, Katika mchezo wa leo, hivi sasa mpira umekwisha na Simba imefungwa magoli 3-1 na timu  ya Nairobi City Stars kutoka nchini Kenya. Kwa hisani ya Full Shangwe Blog

Hili ndilo benchi la ufundi la timu ya Nairobi  City Stars kutoka nchini Kenya
Benchi la ufundi la timu ya Simba kushoto ni kocha wa timu hiyo Bw. Milovan.
Kikosi cha timu ya Simba kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa paambano hilo.
Kikosi cha timu ya Nairobi City Stars kutoka Kenya kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa paambano hilo.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...