Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Warembo wa Redds Miss World Tanzania 2012 waingia Kambini

Washiriki wa shindano la Redds Miss World Tanzania 2012 wakiwa kwenye kambi yao iliyopo kwenye Hotel ya Kitalii ya Giraffe jijini Dar Es Salaam tayari kwa shindano lao la jumamosi hii kumpata mwakilishi wa Taifa. Kutoka kulia ni Gloryblaca Mayowa (Lindi) Hamisa Hassan (Kinondoni) Queen Saleh (Ilala) Christine Willium (Iringa) Pendo Laizer (Arusha) Lisa Jensen (Mara) Mwajabu Juma (Temeke) Neema Saleh (Ilala) Jeneffer Kalolaki (Ilala) Stella Mbuge (Kinondoni).

Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania, Albert  Makoye (kulia) na Miss Tanzania 2011, Salha Israel wakiwakaribisha warembo hao kambini 

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...