Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Fadhili Manongi akifungua mkutano wa siku moja wa maboresho wa wadau wa sekta ya usalama wa Anga jijini Dar es Salaam Juni 13,2012,(kushoto) ni Mkurugenzi wa Sheria za Usalama wa mambo ya Anga kutoka Mamalaka ya Usafiri wa Anga (TCAA)- Picha na Mwanakombo Jumaa.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Fadhili Manongi (aliesimama) akifungua mkutano wa siku moja wa maboresho wa wadau wa sekta ya usalama wa Anga jijini Dar es Salaam Juni 13,2012,(kushoto) ni Mkurugenzi wa Sheria za Usalama wa mambo ya Anga kutoka Mamalaka ya Usafiri wa Anga (TCAA)- Picha na Mwanakombo Jumaa.
Baadhi ya wadau wa mkutano wa maboresho wa mambo ya usalama wa sekta ya usafiri wa Anga nchini wakifuatilia mada mbalimbali katika mkutano wa siku moja uliofanyika leo Juni 13,2012 jijini Dar es Salaam ulioandaliwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) uliofunguliwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) Fadhili Manongi (hayupo pichani) Mkutano huo umezungumzia masuala mbalimbali jinsi ya kuboresha usalama wa usafiri wa anga pamoja na changamoto mbalimbali zinazowakabili wadau wa sekta hiyo. (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).
Baadhi ya wadau wa mkutano wa maboresho wa mambo ya usalama wa sekta ya usafiri wa Anga nchini wakifuatilia mada mbalimbali katika mkutano wa siku moja uliofanyika Juni 13,2012 jijini Dar es Salaam ulioandaliwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) uliofunguliwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) Fadhili Manongi (hayupo pichani) Mkutano huo umezungumzia masuala mbalimbali jinsi ya kuboresha usalama wa usafiri wa anga pamoja na changamoto mbalimbali zinazowakabili wadau wa sekta hiyo. (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).
Mkaguzi Mkuu anaeshughulikia masuala ya ajali za usafiri wa ndege kutoka Wizara ya Uchukuzi John Nyamwihura akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam( Juni13, 2012) kuhusu masuala mbalimbali ya usalama na ajali za ndege nchini katika mkutano huo wa siku moja wa wadau wa usafiri salama wa sekta ya anga,(Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
No comments:
Post a Comment