MASTAA AZAM FC WAKITANUA VIFUA KATIKA GYM LA KISASA CHAMAZ
Kocha Stewart akiinua nondoAsubuhi ya leo, BIN ZUBEIRY ilitembelea kambi ya Azam FC, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam na kuwakuta wachezaji wa timu hiyo, itakayoiwakilisha Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho la Soka Afrika mwakani wakijifua kwa mazoezi ya kujenga miili chini ya makocha wao, Waingereza, Stewart Hall na Msaidizi wake, Kalimangonga Sam Daniel Ongala kwenye gym kali na ya kisasa ya klabu hiyo, iliyopo ndani ya Uwanja wao, Chamazi. Cheki picha hizo. |
Add caption |
Luckson Kakolaki |
Kipre Tchetche |
Said Mourad |
Gaudence Mwaikimba |
Zahor Pazi |
Odhiambo Blackberry |
Kipre Balou |
Kutoka kushoto, Ibrahim Shikanda, Himid Mao na Ibrahim Mwaipopo |
Kutoka kulia Jabir Aziz, Ramadhan Chombo na ... |
Kali Ongala akimuelekeza Ibrahim Mwaipopo, kushoto ni Mao. Chanzo; Bin Zubeiry Blog |
No comments:
Post a Comment