Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

TRAVELPORT YAUNGANA NA PRECISION AIR YAJA NA HUDUMA MPYA KWA WATEJA

 Meneja Mkuu wa Kampuni ya Travelport, Eliasaph Mathew akizungumza wakati wa semina ya siku moja kuhusu teknolojia mpya ya kuuza tiketi kwa kutumia simu ya mkononi iliyofanyika jijini Dar es Salaam, pamoja na kukuza ushirikiano wa kibiashara na Shirika la Precision Air na kuhudhuriwa na mawakala wa mashirika ya ndege jijini Dar es Salaam
 Mwakilishi wa kampuni ya Wakala wa Ndege ya  Tan Travel, , Paul Walden akichangia mada katika semina hiyo
 Wadu wakifuatilia mada
 Baadhi ya wafanyakazi wa Precision Air walioshiriki semina hiyo wakiwa katika picha ya pamoja
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Travelport, Eliasaph Mathew akiwatambulisha baadhi ya wafanyakazi wa wa kampuni hiyo. 

 Kaimu Meneja wa Taifa wa Mauzo wa Precision Air, Ibrahim Bukenya akimkabidhi tiketi ya ndege mwakilishi wa kampuni ya uwakala wa ndege ya Moon Travel, Amina Saleh

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...