Makamu
Mwenyekiti
wa Kamati ya Saidia Serengeti Boys Ishinde, Kassim Mohamed Dewji
akizungumza na
Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Serengeti, ndani ya hoteli ya JB
Bellmonte,
katikati ya Jiji la Dar es Salaam asubuhi ya leo kuhusu maandalizi ya
mechi ya
Jumapili dhidi ya Kongo Brazzaville, kuwania tiketi ya kucheza Fainali
za U-17 Afrika.
Dewji amesema Kamati yake imefanikiwa kukusanya Sh. Milioni 35 kati ya
Milioni
60 zinazotakiwa kwa maandalizi ya mchezo huo wa kwanza. Wengine kulia ni
Henry Tandau, Katibu wa Kamati na kushoto, Angetile Osiah, Mjumbe wa
Kamati.
|
No comments:
Post a Comment