Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe Atembelea na kuongea na wazee waishio Katumbasongwe, kando ya Ziwa Nyasa ndani ya Wilayani Kyela, Mkoani Mbeya Nakusema '''Hakuna mtu kusema Ziwa lote la nyasa ni lake.
Mhe.
Bernard K. Membe (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa akisaini kitabu cha wageni leo katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa
Mbeya, wakati akiwa katika ziara ya siku mbili Mkoani humo.
Mhe.
Waziri Membe akifafanua kuhusu mgogoro wa Mpaka wa Ziwa Nyasa kati ya
Tanzania na Malawi mbele ya Kamati ya Ulinzi na Usalama chini ya
Uenyekiti wa Mhe. Abbas Kandoro, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya.
No comments:
Post a Comment