Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

MARYROSE KAJINGE ACHUKUA FOMU KWAAJILI YA KUWANIA NAFASI YA UWENYEKITI WA UMOJA WA WANAWAKE CCM (UWT) TAIFA

 Mayrose Kavura Majinge akisalimiana na mkurugenzi wa sheria wa CCM ndg Ruoga mara baada ya kuchukua fomu ya mwenyekiti wa UWT ngazi ya taifa.
 Mayrose Kavura Majinge (katikati),akiwa katika picha ya pamoja na mumewe ndg Joseph Kusaga Majinge nje ya jengo la CCM makao makuu Dodoma mara tu baada ya kuchukua fomu ya mwenyekiti jumuiya ya wanawake wa CCM (UWT) ngazi ya taifa
 Mayrose Kavura Majinge akiwa katika picha ya pamoja na mkurugenzi wa sheria wa CCM ndg Ruoga mara baada ya kuchukua fomu ya mwenyekiti wa UWT ngazi ya taifa katika makao makuu ya CCM Mkoani Dodoma
 Mayrose Kavura Majinge (Mwenye nguo ya Rangi ya Kijani) akiongea na wandishi wa habari mara tu baada ya kuchukua fomu makao makuu ya CCM Mkoani Dodoma

Aliyekuwa mtangazaji wa Kipindi Cha Mayrose talk show kilichokuwa kikirushwa na Kituo Cha Television Cha Star tv Mayrose Kavura Majinge amejitosa katika kinyang'anyiro cha Kuwania Uwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) mara baada ya kwenda kuchukua fomu rasmi ya kugombea uwenyekiti wa Umoja wa Wanawake(UWT) ngazi ya taifa.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...