MASAI CAMP ARUSHA YAZINDULIWA UPYA
Wageni maalum katika uzinduzi huo Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Teddy Mapunda (kushoto) na timu yake wakipata burudani na vyakula vya aina mbalimbali wakati wa uzinduzi wa
Klabu ya MASAI CAMP ya jijini Arusha ambayo itakuwa ikitoa vionjo tofauti kwa vyakula na burudani za aina mbalimbali pamoja na vinywaji vya kila namna kwa wageni watakao kuwa wakitembelea kituo hicho cha maraha kutwa nzima.
Wageni kutoka nje ya nchi ambao wapo jijini Arusha kwa shughuli za utalii, masomo na kazi za kujitolea wakifuatilia burudani kutoka kundi hilo la Gotagious Danceteam Africa lililokuwa likip[oromosha burudani kali.
Burudani ya vijana hawa ilikuwa ni ya nguvu na yakuvutia.
furaha ya watazamaji haikuweza kufichika...
Burudani ya Disco iliporomoshwa na mkali huyu kutoka majuu
Wadau wa Masai Camp ya mjiji Arusha wakilamba picha ya pamoja usiku wa jana wakati wakitambulisha upya kiota hichi cha maraha.
Teddy Mapunda 'Aunt T' akishow love na mmoja wa waendeshaji wa Masai Camp
Burudani iliachiwa mpaka majogoo na watu waliruka majoka ya hatari.....ilikuwa ni raha tupu.
No comments:
Post a Comment